Basi la abiria likiwa limepinduka katika moja ya ajali ambazo chanzo chake kikitajwa kuwa ni uzembe wa madereva.
Kikosi cha Usalama Barabarani nchini Tanzania, kimeandaa kanuni na sheria kali dhidi ya madereva wazembe, ikiwa ni moja ya mikakati ya kukabiliana na wimbi la ongezeko la ajali za barabarani.