Watanzania watano watunukiwa Tuzo ya Heshima na EU
Umoja wa Ulaya nchini umewatunuku tuzo za heshima Watanzania watano mashuhuri, kutokana na mchango wa kila mmoja wao katika kuwaletea Watanzania maendeleo, tuzo zilizotolewa ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya mwaka wa maendeleo kwa nchi za Ulaya.