Kocha Marsh azikwa leo Mwanza

Mwili wa aliyekuwa kocha msaidizi wa Timu ya Taifa, Taifa Stars umezikwa leo jijini Mwanza na familia baada ya kuwa na mgogoro kati ya Familia na Chama cha Mpira Mkoani Mwanza MZFA juu ya kuzika mwili wa Kocha Marsh.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS