Dimpoz: Nimejifunza kutoa kideo
Baada ya mapokezi mazuri ya kazi yake mpya ya Wanjera, staa wa muziki Ommy Dimpoz ambaye ameendelea kupokea sifa na maoni tofauti kutokana na kazi hiyo amesema kuwa amejifunza kwa asilimia 70, jinsi ya kutengeneza stori katika video.