2 wafariki Dunia jijini Mbeya Akiwemo Mwanafunzi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,SACP Ahmed Msangi. Mtu mmoja mkazi wa chitete aliyetambulika kwa jina la Mingson Lwabi (45) alikutwa ndani ya nyumba yake akiwa ameuawa kwa kukatwa kitu chenye ncha kali kichwani na shingoni na mtu/watu wasiofahamika. Read more about 2 wafariki Dunia jijini Mbeya Akiwemo Mwanafunzi