Yanga yafuta machozi kwa Wazimbabwe yawachapa 5-1

Wachezaji wa Yanga wakishangilia moja ya mabao ya mshambuliaji Mrisho Ngasa wa kwanza kushoto

Kiungo mshambuliaji wa timu ya soka ya Yanga Mrisho Halfan Ngasa hii leo amekuwa nyota na mwiba mkali katika mchezo wa kimataifa wa kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya Platinum FC ya Zimbabwe

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS