Majonzi yatawala mamia wakimwaga kocha Marsh

Aliyewahi kuwa kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania taifastars marehemu Silvester Marsh.

Wadau mbalimbali wa mchezo wa soka wakiwemo ndugu jamaa na marafiki wamejitokeza leo kumuaga Kocha Sylvester Marsh katika safari yake ya mwisho.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS