Okwi awa shujaa tena Simba, aiua Mtibwa Taifa
Wakati mashabiki wa soka waliofika katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam wakianza kutoka nje wakifikiri matokeo ya mchezo wa ligi kuu baina ya wenyeji Simba na wakata miwa Mtibwa sukari yataishia kwa suluhu mambo yakawa tofauti dakika ya mwisho