TIC na migogoro kati ya wawekezaji na wananchi

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa na mwenzake waziri mkuu wa Jamhuri ya watu wa China.

Kituo cha uwekezaji nchini Tanzania TIC kimesema migogoro inayoendelea nchini kati ya wawekezaji na wananchi ni matokeo ya ukiukwaji wa makubaliano ambayo wawekezaji wanatakiwa kutimiza kwa wananchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS