Idadi ya vifo ajali Iringa yazidi Kuongezeka

Moja ya picha za ajali iliyotokea hivi karibuni Mkoani Iringa, katika Mji wa Mafinga

Idadi ya Vifo katika ajali ya iliyotokea jana mjini mafinga Mkoani Iringa imeongezeka na kufikia watu 50 baada ya majeruhi wengine kufariki dunia jana huku majeruhi wakibaki 14.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS