Planet Bongo
Katika zile harakati za Planet Bongo kukuletea wasanii waliofanya vizuri zamani pia kupiga Stori na wanaofanya vizuri kwasasa hawa hapa Solid Ground Family Jumatatu hii saa 3:00 Usiku na Mjukuu Wa Ambua wakuitwa Dullah Planet ndani ya Planet Bongo