Yanga yakanusha kuwachukulia hatua wachezaji
Uongozi wa Klabu ya Yanga umekanusha juu ya suala la kuwachukulia hatua wachezaji baada ya kufungwa na timu ya Simba bao 1-0 katika muendelezo wa Michuano ya Ligi kuu Soka Tanzania Bara iliyochezwa Machi nane Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.