Fainali RBA kuzikutanisha JKT na Savio kesho
Michuano ya Ligi ya Mpira wa kikapu Mkoa wa Dar es salaam inatarajia kufikia tamati yake hapo kesho kwa kuchezwa fainali ya wanaume kati ya JKT na Savio huku wanawake zikiwakutanisha Jeshi Stars na Don Bosco Lioness, Uwanja wa ndani wa Taifa.