Ijumaa hii ni Harusi Trade Fair
Siku mbili tu zimebaki kuelekea Onyesho kubwa la mitindo na bidhaa za Harusi la Harusi Trade Fair kwa mwaka 2015, linatarajiwa kufanyika siku ya Ijumaa tarehe 13 na jumamosi tarehe 14 mwezi huu, Danken House Mikocheni kuanzia saa mbili na nusu usiku.