Sitta asimamisha upokeaji wa mabehewa kutoka India Waziri wa Uchukuzi Mh. Samweli Sita amesisimamisha upokeaji mabehewa 124 toka nchin India mpaka taarifa ya kuchunguza tuhuma za mabewa yaliyo chini ya kiwango itakapo kabidhiwa kwake wiki ijayo. Read more about Sitta asimamisha upokeaji wa mabehewa kutoka India