TANESCO yatakiwa kuwafata wateja walipo
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Richard Ndassa, amelitaka Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kuwafuata wateja na kuwafungia umeme, mahali wanapoishi badala ya kusubiri wateja kuwafuata .