DSE, ndio soko bora la Hisa barani Africa.
Ushiriki wa uwekezaji mkubwa wa kigeni kwa mwaka 2014 uliyawezesha masoko ya hisa ya kikanda kuweka rekodi katika mafanikio kwa wawekezaji kupata marejesho mazuri, hususan Soko la Hisa la Dar es Salaam, DSE , limetajwa kuwa soko bora la hisa Afrika.