Rama Dee awataka vijana kubadili Fikra
Star wa muziki Rama Dee ametoa mtazamo wake kwa upande wa siasa, akielekeza ujumbe wake kwa vijana kubadilisha fikra zao na kufahamu kuwa endapo wanataka mabadiliko, basi ni muhimu kuchukua hatua zinazostahili ili kujipatia mabadiliko hayo.