Planet Bongo
Baada ya kufanya mengi sana katika tasnia ya Urembo sasa kajikita rasmi kwenye muziki,Tumeona kazi zake kadhaa alizofanya na AY, Lucci na sasa kimataifa zaidi na Ice Prince, huyu hapa Jokate Jumatatu hii saa 3 Usiku ndani ya Planet Bongo, EATV pekee.