Simba- Sserunkuma hajatoroka, anaruhusa maalum Klabu ya Simba imekanusha taarifa za mchezaji Danny Sserunkuma kuondoka Kambini bila ruhusa na badala yake alipewa ruhusa kwenda kumaliza matatizo ya kifamilia nchini Kenya. Read more about Simba- Sserunkuma hajatoroka, anaruhusa maalum