Vurugu zaendelea kutikisa Tunduma Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya ACP Ahmed Msangi Gari la kikosi cha Zimamoto limevunjwa vioo na askari wa kikosi hicho kujeruhiwa hii leo baada ya kutupiwa mawe na wananchi katika vurugu zinazoendelea kwa siku ya tatu huko Tunduma Mkoani Mbeya. Read more about Vurugu zaendelea kutikisa Tunduma