Wafungwa 54 wanufaika na mfumo wa Parole Dodoma
Jumla ya wafungwa 54 Mkoani Dodoma wamenufaika na utaratibu wa kuwaachilia wafungwa ili wamalizie sehemu ya kifungo chao wakiwa katika familia zao (Parole) ambapo kati ya hao hakuna hata mmoja aliyerejeshwa gerezani kwa kuvunja masharti.