Ramsey Noah ataka filamu za uhakika
Mwigizaji mahiri kutoka nchini Nigeria, Ramsey Noah Jnr ameeleza sababu ya kupotea kwake kwa muda katika filamu mbalimbali za Nollywood, sababu yake ikiwa ni kulenga ujio mpya katika tasnia hiyo akizingatia bajeti ya kutosha na ubora wa kazi.