Bebe Cool awania tuzo Australia msanii wa nchini Uganda Bebe Cool Staa wa muziki Moses Ssali maarufu zaidi kama Bebe Cool kutoka nchini Uganda, amechaguliwa kuwania tuzo kubwa za muziki ya nchini Australia. Read more about Bebe Cool awania tuzo Australia