Mwananchi atumia laki 6 kujenga daraja kijijini

Muonekano wa daraja lililojengwa na Kosmas Kungule

Mwananchi wa Kijiji cha Itiso wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Kosmas Daudi Kungule, ametengeneza kivuko cha miguu kijijini hapo (Daraja) kuunganisha shule ya msingi Itiso ambayo mvua ikinyesha wanafunzi hushindwa kufika hapo shuleni kutokana na maji kujaa katika eneo hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS