Wanachuo waonywa kuhusu mapenzi
Wanafunzi wanojiunga na vyuo mbalimbali nchini wametakiwa kujiepusha na vishawishi ikiwemo kujiingiza kwenye makundi yasiyofaa pamoja na kujiingiza kwenye mahusino ya kimapenzi wawapo vyuoni vinavyopelekea kukatisha ndoto zao.