Rayvanny, Zuchu washinda tuzo za AFRIMMA 2022 Picha ya Rayvanny na Zuchu Msanii Rayvanny na Zuchu kutoka Tanzania wameshinda tuzo za AFRIMMA 2022 katika vipengele vya msanii bora wa kiume Africa Mashariki na msanii bora wa kike Africa Mashariki. Read more about Rayvanny, Zuchu washinda tuzo za AFRIMMA 2022