Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Walemavu Tanzania (SHIVYAWATA), Wakili Amon Anastaz.
VYAMA vya Watu wenye ulemavu nchini, wanakusudia kuishitaki serikali kwenye vyombo vya kimataifa, endapo mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino) yataendelea.