AT aomba sapoti ya Serikali AT Staa wa muziki AT, amesema kuwa bado kuna umuhimu mkubwa wa serikali kutoa sapoti kwa ajili ya kutangaza wasanii na kazi zao nje ya nchi, kutokana na utajiri mkubwa na utofauti wa muziki kutoka hapa Tanzania. Read more about AT aomba sapoti ya Serikali