Dk. Mpango atoa siku 7 ujenzi uliokwama Tanga
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa siku saba kwa Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kuhakikisha wanatatua changamoto inayokwamisha ujenzi wa barabara ya Pangani - Makurunge Bagamoyo.