Wananchi waonywa kubeza utamaduni wa Afrika
Katika kukuza diplomasia na uchumi, Afrika Kusini na Tanzania zitashirikiana katika kazi za utamaduni na utalii, huku wananchi wakihimizwa kutumia kazi za utamaduni kukuza uchumi wa mataifa haya mawili na kuonywa kudharau utamaduni wa Afrika.