Wakimbizi watakuwa kurudi Burundi
Wakuu wa mikoa mitano ya Burundi inayopakana na Tanzania wamewataka wakimbizi wa nchi hiyo wanaohifadhiwa katika kambi za wakimbizi mkoani Kigoma kurudi nyumbani kwao, na kusaidiana na raia wengine wa nchi hiyo ili kuijenga Burundi baada ya vita ya muda mrefu.