Serikali yaombwa kuboresha miundombinu ya elimu
Ili kuleta utulivu na ufanisi wa kazi ya ualimu katika utekelezaji wa majukumu yao, Chama cha walimu wilayani Kiteto mkoani Manyara, kimeomba serikali kuboresha miundombinu ya elimu sambamba na ujenzi wa nyumba za waalimu, kuboresha Sekta hiyo

