''Tunaiheshimu Ruvu Shooting''Mgunda

Kocha Mkuu Juma Mgunda amesema kesho wanakwenda kukutana na timu ngumu ya Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa saa moja usiku.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS