Tanzania yapokea msaada wa shilingi bilioni 210
Tanzania imepokea msaada wa shilingi bilioni 210 kutoka Ujerumani kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya sekta za afya, maji, utalii, mazingira, utawala bora, kuwawezesha wanawake kiuchumi pamoja na kuboresha mfumo wa kidijitali kwa ajili ya kufuatilia matukio ya vitendo vya ukatili