Equatorial Guinea kufanya  uchaguzi mkuu jumapili

Rais Teodoro Obiang Nguema anawania muhula wake wa sita mfululizo madarakani.

Equatorial Guinea  inajiandaa na uchaguzi mkuu wa Urais wakati ambapo kampeni zinatarajiwa kumalizika Ijumaa ya leo kwa ajili ya uchaguzi wa urais na wabunge nchini humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS