Anayesadikiwa kumuua Khashoggi hakamatiki

Marekani imebaini kuwa kiongozi wa Saudi Arabia  Mwanamfalme Mohammed bin Salman  ana kinga dhidi ya kesi iliyowasilishwa na mchumba wa mwandishi wa habari aliyeuawa Jamal Khashoggi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS