Waziri Ndejembi aamuru migogoro imalizwe siku 30
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendekeo ya Makazi Deogratius Ndejembi, ametoa siku 30 kwa watumishi wa Ardhi jiji la Dodoma kutatua migogoro na changamoto za ardhi na kupata majawabu ifikapo Desemba 10 2024.