Sheria za Tanzania ziwalinde wafanyabiashara.
Serikali imetakiwa sasa kuzitazama upya na kuzifanyia maboresho sheria za biashara na uwekezaji kufuatia sasa kufurika kwa wawekezaji wengi kwenye sekta mbalimbali ambapo wengine wanakwama kufanya uwekezaji kulingana na kutokuwepo kwa sheria za kulinda mitaji yao endapo itatokea mkwamo.