Mshirika wa Trump apigwa Risasi hadharani Nchini Marekani, mwanaharakati maarufu wa kisiasa na mshirika wa rais Donald Trump, Charlie Kirk, ameuawa kwa kupigwa risasi akiwa katika chuo kikuu cha Utah. Read more about Mshirika wa Trump apigwa Risasi hadharani