Waandishi waonywa kuvaa sare za vyama
Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini, unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, waandishi wa habari nchini wametakiwa kujiweka mbali na mapenzi ya chama chochote cha siasa ili waweze kufanya kazi bila kukutana na changamoto.