Wanafunzi 500 watoroka shule moja kwa siku moja
Mkuu wa wilaya ya Geita Wilson Shimo amesema katika wilaya hiyo ameshuhudia wanafunzi 500 wa shule moja wakitoroka masomo ndani ya siku moja ambapo amewaonya walimu wanaojihusisha na shughuli za kiuchumi muda wa kuwa darasani kwani hali hiyo inachangia utoro