Wafanyabiashara kulipa mapato ya serikali saa 24

Kufuatia usumbufu ambao wamekuwa wakiupata wateja na wafanyabiashara wanaolipa kodi,malipo mbalimbali ya serikali na wanaolipia mizigo yao bandarini serikali kupitia benki ya biashara ya Taifa TCB imefungua Tawi maalum eneo la bandari ambalo litafanya kazi saa 24 siku saba za wiki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS