Mwalimu wa taaluma atuhumiwa kumbaka mwanafunzi
Binti wa miaka 13 ambaye amehitimu darasa la saba mwaka huu katika shule ya msingi Rulanda iliyoko wilaya ya Muleba mkoa wa Kagera, anadaiwa kubakwa na mwalimu wa taaluma katika shule hiyo aitwaye Lameck Jonas Bahikwaki ambaye inadaiwa ametoroka baada ya tukio hilo.