Mabondia 30 kupamba dabi ya ngumi Dsm Jumla ya mabondia 30 wamefanikiwa kupima afya tayari kwa maandalizi ya mwisho kuelekea pambano la Dar Boxing Derby linalotarajia kupigwa Novemba 20, mwaka huu kwenye Uwanja wa Kinesi, Dar Read more about Mabondia 30 kupamba dabi ya ngumi Dsm