"Tunataka Ilemela waache nguo nje wazikute"- Kalli
Serikali wilayani Ilemela mkoani Mwanza imewaonya vijana wasio waaminifu ambao wamekuwa wakijiunga kwenye makundi ya uhalifu kama panya road na kusema atakayejaribu kufanya hivyo hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.