Carlo Ancelotti Kikaangoni Real Madrid
Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelloti yupo kwenye wakati mgumu ndani ya kikosi cha Mabingwa mara 15 wa ligi ya mabingwa Ulaya baada timu yake kupokea kipigo cha pili kikubwa ndani ya wiki tatu kutoka kwa AC Milan ya Italia jana usiku uwanja wa Santiago Bernabéu Stadium .