Serikali kuendelea kutoa mikopo kwa wajasiriamali
Naibu waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI Dk.Festo Dugange amesema serikali itaendelea kutoa mikopo ya asilimia kumi kwa vikundi vya wajasiriamali vilivyorejesha mikopo yao kwa mafanikio makubwa ikiwemo vile ambavyo biashara zao zimeanza kuzaa matunda