Wanne wakamatwa kwa tuhuma za kuiba watoto
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kuiba Watoto wenye umri wa kuanzia miezi mitatu hadi nane na kisha kuwatelekeza huku wengine wakiwapeleka kwa wenza wao na kujifanya ni watoto wao