Shilole awashukuru waliomwombea
Kupitia ukurasa wake wa Instagram @OfficialShilole, Shilole amesema amemwona Mungu kwa macho yake na kwamba baada ya ajali hiyo bado yuko hai kwa neema zake akiwashukuru wote waliomtumia jumbe, waliompigia simu yeye pamoja na watu wake wa karibu, na kumuombea.

